SUPER EARN TECHNOLOGIES
Super earn technologies ni platform mpia iliyoanzishwa trh02/04/2022, ni platform iliyoanzishwa kwa lengo la watu kujipatia kipato ambapo imededicatiwa kwa vijana sana sanaa kutokan na changamoto za maisha katika utafutaji.Super earn technologies ni platform iliyo chini ya kampuni yetu kubwa CEENET TECHNOLOGIES ambayo inajihusisha na uzalishaji, usambazaji na mengineyo wa accessories mbalimbali. Super earn inafaida gani? Super earn kama nilivyosema awali ni platform ambayo wewe kama kijana unaweza ukajipatia kipato kwa njia ya simu(smartphones) kwa uwezweshaji wa data(mb's) hapa unaeza ukaearn upto millions(Tshs, Kshs, Ushs, Rshs, Bshs).platform hii ni taasisi na inatambulika kisheria katika nchi tano yaani TANZANIA, KENYA, UGANDA, RWANDA & BURUNDI. Nawezaje kuearn pesa kwenye hii platform? Eeehhh mtu huweza kuearn pesa katika platform yetu kwa namna mbali mbali kama, √Karibu mgeni(Registration bonus), hii ni bonus anayepew...